Pair of Vintage Old School Fru
Buzztv 1
Kutokana na ulimwengu wa sasa
na utandawazi ulioenea duniani
kitu kama wavuti au tovuti ni
cha kawaida sana kwani watu
wengi sasa hivi wanamiliki
tovuti zao binafsi kwa lengo la
kujitangaza wao ama biashara
zao na hata mambo mbali mbali.
Napenda kutoa nafasi kwa mtu
yoyote yule anaependa kumiliki
tovuti au wavuti, naweza kutoa
msaada huu kwa kukutengenezea
tovuti au wavuti yoyote ile
uitakayo kwa kutumia Wap na
Web masters tools katika Page za
HTML, WML na xHTML pia nina
weza kukufundisha jinsi ya
kutengeneza tovuti au wavuti na
ukawa na uwezo wa
kujitengenezea wewe mwenyewe
kwa ajili ya shughuli zako
binafsi. Kama tunavyofahamu
kuwa ukiwa na mtandao wako
wewe mwenyewe ni rahisi
kutangaza mambo yako binafsi
kama vile biashara zako na
ikawa ni njia rahisi ya wewe
kujipatia kipato cha kila siku
kupitia tovuti au wavuti yako.
Nimetoa nafasi hii kwa kila
mwenye kuhitaji kumiliki tovuti
au wavuti na kwa mwenye
kutaka kujifunza jinsi ya
kutengeneza tovuti. Pia hata kwa
wale wenye tovuti zao kama
wanahitaji kuzi Update
(KUONGEZA VITU VIPYA na
KUFUTA VYA ZAMANI) Nao pia
ninaweza kuwasaidia. Gharama
zangu ni nafuu sana kwa
mwenye kuhitaji anaweza
kuwasiliana namimi kupitia:
0777000380

logo
U-
ON
Site Created &Designed by Areflula ® 2013-2014. All Rights Reserved